Kutoka 8:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Tena kama ukikataa kuwapa ruhusa, tazama, nitaipiga mipaka yako yote kwa kuleta vyura; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Lakini ukikataa kuwaacha waondoke, basi, nitaipiga nchi yako yote kwa kuiletea vyura. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Lakini ukikataa kuwaacha waondoke, basi, nitaipiga nchi yako yote kwa kuiletea vyura. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Lakini ukikataa kuwaacha waondoke, basi, nitaipiga nchi yako yote kwa kuiletea vyura. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Ukikataa kuwaruhusu kuondoka, basi nitaipiga nchi yako yote kwa kuwaletea vyura. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Kama ukikataa kuwaruhusu kuondoka, basi nitaipiga nchi yako yote kwa kuwaletea vyura. Tazama sura |