Kutoka 8:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Wakawakusanya marundo marundo; na nchi ikatoa uvundo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Watu wakawakusanya vyura hao marundo marundo; nchi nzima ikanuka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Watu wakawakusanya vyura hao marundo marundo; nchi nzima ikanuka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Watu wakawakusanya vyura hao marundo marundo; nchi nzima ikanuka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Wakayakusanya malundo, nchi nzima ikanuka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Wakayakusanya malundo, nchi nzima ikanuka. Tazama sura |
lakini jeshi lililotoka kaskazini nitaliondolea mbali nanyi, nami nitalifukuza mpaka nchi ya ukame na ukiwa; sehemu yake iliyo mbele itaingia katika bahari ya mashariki, na sehemu yake iliyo nyuma itaingia katika bahari ya magharibi; na uvundo wake utapanda juu, na harufu yake mbaya itapanda juu, kwa sababu ametenda mambo makubwa.