Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 8:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 BWANA akafanya sawasawa na neno la Musa; na hao vyura wakafa kutoka katika zile nyumba, na katika viwanja, na katika mashamba.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Mwenyezi-Mungu akafanya kama Mose alivyomwomba: Vyura wakafa majumbani, viwanjani na kwenye kumbi za nyumba na katika mashamba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Mwenyezi-Mungu akafanya kama Mose alivyomwomba: Vyura wakafa majumbani, viwanjani na kwenye kumbi za nyumba na katika mashamba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Mwenyezi-Mungu akafanya kama Mose alivyomwomba: vyura wakafa majumbani, viwanjani na kwenye kumbi za nyumba na katika mashamba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Naye Mwenyezi Mungu akafanya lile Musa alilomwomba. Vyura wakafia ndani ya nyumba, viwanjani na mashambani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Naye bwana akafanya lile Musa alilomwomba. Vyura wakafia ndani ya nyumba, viwanjani na mashambani.

Tazama sura Nakili




Kutoka 8:13
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kwani kazi yao ilikuwa kuwangojea wana wa Haruni katika utumishi wa nyumba ya BWANA, nyuani, na vyumbani, na kwa kuvisafisha vitakatifu vyote, ndiyo kazi ya utumishi wa nyumba ya Mungu;


Alisema, kukaja makundi ya mainzi, Na chawa katika nchi yao yote.


Hao vyura wataondoka kutoka kwako wewe na nyumba zako, na watumishi wako, na watu wako; watasalia mtoni tu.


Basi Musa na Haruni wakatoka kwa Farao; Musa akamlilia BWANA katika jambo la hao vyura aliokuwa amewaleta juu ya Farao.


Wakawakusanya marundo marundo; na nchi ikatoa uvundo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo