Kutoka 7:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Musa na Haruni wakafanya vivyo hivyo; kama BWANA alivyowaambia, ndivyo walivyofanya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Basi, Mose na Aroni wakafanya hivyo; naam, walifanya kama Mwenyezi-Mungu alivyowaamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Basi, Mose na Aroni wakafanya hivyo; naam, walifanya kama Mwenyezi-Mungu alivyowaamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Basi, Mose na Aroni wakafanya hivyo; naam, walifanya kama Mwenyezi-Mungu alivyowaamuru. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Musa na Haruni wakafanya sawasawa na jinsi Mwenyezi Mungu alivyowaamuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Musa na Haruni wakafanya sawasawa kama vile bwana alivyowaagiza. Tazama sura |