Kutoka 7:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 BWANA akamwambia Musa, Moyo wa Farao ni mzito, anakataa kuwapa watu ruhusa waende zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Moyo wa Farao umekuwa mgumu. Anakataa kuwaacha Waisraeli waondoke. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Moyo wa Farao umekuwa mgumu. Anakataa kuwaacha Waisraeli waondoke. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Moyo wa Farao umekuwa mgumu. Anakataa kuwaacha Waisraeli waondoke. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kisha Mwenyezi Mungu akamwambia Musa, “Moyo wa Farao ni mgumu; anakataa kuwaacha watu waondoke. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kisha bwana akamwambia Musa, “Moyo wa Farao ni mgumu, anakataa kuwaachia watu kuondoka. Tazama sura |