Kutoka 6:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Hawa ni Haruni yeye yule, na Musa yeye yule, BWANA aliowaambia, akisema, Watoeni wana wa Israeli watoke nchi ya Misri sawasawa na majeshi yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Aroni na Mose ndio walioambiwa na Mwenyezi-Mungu, “Watoeni watu wa Israeli kutoka nchi ya Misri, vikundi kwa vikundi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Aroni na Mose ndio walioambiwa na Mwenyezi-Mungu, “Watoeni watu wa Israeli kutoka nchi ya Misri, vikundi kwa vikundi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Aroni na Mose ndio walioambiwa na Mwenyezi-Mungu, “Watoeni watu wa Israeli kutoka nchi ya Misri, vikundi kwa vikundi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Hawa walikuwa Haruni na Musa, wale wale ambao Mwenyezi Mungu aliwaambia, “Watoeni Waisraeli katika nchi ya Misri kwa vikosi vyao.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Hawa walikuwa Haruni na Musa wale wale ambao bwana aliwaambia, “Watoeni Waisraeli katika nchi ya Misri kwa vikosi vyao.” Tazama sura |