Kutoka 6:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Na wana wa Kora; ni Asiri, na Elkana, na Abiasafu; hizo ni jamaa za hao Wakora. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Nao watoto wa kiume wa Kora walikuwa: Asiri, Elkana na Abiasafu, ambao walikuwa mababu wa jamaa za Kora. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Nao watoto wa kiume wa Kora walikuwa: Asiri, Elkana na Abiasafu, ambao walikuwa mababu wa jamaa za Kora. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Nao watoto wa kiume wa Kora walikuwa: Asiri, Elkana na Abiasafu, ambao walikuwa mababu wa jamaa za Kora. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Wana wa Kora walikuwa: Asiri, Elkana na Abiasafu. Hizo zilikuwa koo za Kora. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Wana wa Kora walikuwa: Asiri, Elikana na Abiasafu. Hawa walikuwa ndio koo za Kora. Tazama sura |