Kutoka 6:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Huyo Amramu akamwoa Yokebedi shangazi yake; naye akamzalia Haruni, na Musa; na miaka ya maisha yake Amramu ilikuwa ni miaka mia moja na thelathini na saba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Amramu alimwoa Yokebedi, shangazi yake, naye akamzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Amramu alimwoa Yokebedi, shangazi yake, naye akamzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Amramu alimwoa Yokebedi, shangazi yake, naye akamzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, aliyemzalia Haruni na Musa. Amramu aliishi miaka mia moja na thelathini na saba (137). Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Haruni na Musa. Amramu aliishi miaka 137. Tazama sura |