Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 6:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Wana wa Gershoni; ni Libni, na Shimei, kulingana na jamaa zao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Wana wa Gershoni walikuwa: Libni na Shimei; jamaa zao zilitajwa kwa majina yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Wana wa Gershoni walikuwa: Libni na Shimei; jamaa zao zilitajwa kwa majina yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Wana wa Gershoni walikuwa: Libni na Shimei; jamaa zao zilitajwa kwa majina yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Wana wa Gershoni kwa koo walikuwa: Libni na Shimei.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Wana wa Gershoni kwa koo, walikuwa: Libni na Shimei.

Tazama sura Nakili




Kutoka 6:17
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa Lawi; Gershoni, na Kohathi, na Merari.


Wa Wagershoni; Ladani, na Shimei.


Na haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni; Libni, na Shimei.


Wana wa Merari; Mali, na mwanawe huyo ni Libni, na mwanawe huyo ni Shimei, na mwanawe huyo ni Uza;


Na majina ya wana wa Gershoni kwa jamaa zao ni Libni na Shimei.


Tena wana wa Gershoni walipata kwa kura miji kumi na mitatu katika jamaa za kabila la Isakari, na katika kabila la Asheri, na katika kabila la Naftali, na katika hiyo nusu ya kabila la Manase huko Bashani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo