Kutoka 6:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Na haya ndiyo majina ya wana wa Lawi, kulingana na vizazi vyao; Gershoni, na Kohathi, na Merari; na miaka ya maisha yake Lawi ilikuwa ni miaka mia moja na thelathini na saba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Sasa yafuata majina ya wana wa Lawi na wazawa wao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Sasa yafuata majina ya wana wa Lawi na wazawa wao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Sasa yafuata majina ya wana wa Lawi na wazawa wao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Haya ndiyo majina ya wana wa Lawi, kulingana na orodha zao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka mia moja na thelathini na saba (137). Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Haya ndiyo majina ya wana wa Lawi kufuatana na orodha zao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137. Tazama sura |