Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Kutoka 5:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Wakakutana na Musa na Haruni, waliokuwa wanasimama njiani, hapo walipotoka kwa Farao;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Walipoondoka kwa Farao, walikutana na Mose na Aroni ambao walikuwa wanawangojea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Walipoondoka kwa Farao, walikutana na Mose na Aroni ambao walikuwa wanawangojea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Walipoondoka kwa Farao, walikutana na Mose na Aroni ambao walikuwa wanawangojea.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Walipoondoka kwa Farao, wakawakuta Musa na Haruni wakingojea kukutana nao,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Walipoondoka kwa Farao, wakawakuta Musa na Haruni wakingojea kukutana nao,

Tazama sura Nakili

Kutoka 5:20
2 Marejeleo ya Msalaba  

Basi wanyapara wa wana wa Israeli wakaona ya kwamba wako katika hali mbaya, walipoambiwa, Hamtapunguza idadi ya matofali yenu hata kidogo; ndizo shughuli zenu za kila siku.

wakawaambia, BWANA awaangalie na kuamua; kwa kuwa mmefanya harufu yetu kuwa chukizo mbele ya Farao, na mbele ya watumishi wake, mkatia upanga mikononi mwao, watuue.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo