Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 5:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Basi wanyapara wa wana wa Israeli wakaenda, wakamlilia Farao, wakisema, Mbona umetutenda hivi, sisi watumwa wako?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Ndipo wasimamizi wa Waisraeli walipomwendea Farao, wakamlilia wakisema, “Kwa nini unatutenda hivi sisi watumishi wako?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Ndipo wasimamizi wa Waisraeli walipomwendea Farao, wakamlilia wakisema, “Kwa nini unatutenda hivi sisi watumishi wako?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Ndipo wasimamizi wa Waisraeli walipomwendea Farao, wakamlilia wakisema, “Kwa nini unatutenda hivi sisi watumishi wako?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Ndipo wasimamizi wa Waisraeli wakaenda kumlilia Farao, wakisema: “Mbona umewatendea watumishi wako hivi?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Ndipo wasimamizi wa Kiisraeli wakaenda kumlilia Farao, wakisema: “Mbona umewatendea watumishi wako hivi?

Tazama sura Nakili




Kutoka 5:15
4 Marejeleo ya Msalaba  

Huko wafungwa wanastarehe pamoja; Hawaisikii sauti yake msimamizi.


Basi wakaweka wasimamizi juu yao wawatese kwa mizigo yao. Nao wakamjengea Farao miji ya kuwekea akiba, Pithomu na Ramesesi.


Na wanyapara wa wana wa Israeli, ambao wasimamizi wa Farao wamewaweka juu yao, wakapigwa, wakiambiwa, Kwa nini hamkutimiza kazi yenu jana na leo; kwa kufanya matofali kama hapo kwanza?


Watumwa wako hawapewi majani, nao wanatuambia, Fanyeni matofali; na tazama, watumwa wako wapigwa; lakini kosa hilo ni la watu wako mwenyewe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo