Kutoka 40:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Nawe utaleta meza na kuitia ndani, na kuviweka sawasawa vile vitu juu yake; kisha utakileta ndani kile kinara cha taa, na kuziwasha taa zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Utaiingiza meza na kupanga vyombo vyake juu. Utaingiza kile kinara pia na kuziweka taa zake juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Utaiingiza meza na kupanga vyombo vyake juu. Utaingiza kile kinara pia na kuziweka taa zake juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Utaiingiza meza na kupanga vyombo vyake juu. Utaingiza kile kinara pia na kuziweka taa zake juu yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kisha ingiza kinara cha taa na uweke taa zake juu yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kisha ingiza kinara cha taa na uweke taa zake juu yake. Tazama sura |