Kutoka 40:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 bali kama lile wingu halikuinuliwa, wakati ule hawakusafiri hadi siku ile lilipoinuliwa tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Kama wingu hilo halikuinuliwa wao hawakuanza safari; walingoja mpaka wakati lilipoinuliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Kama wingu hilo halikuinuliwa wao hawakuanza safari; walingoja mpaka wakati lilipoinuliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Kama wingu hilo halikuinuliwa wao hawakuanza safari; walingoja mpaka wakati lilipoinuliwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 lakini kama wingu halikuinuka, hawakuondoka, hadi siku lilipoinuka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 lakini kama wingu halikuinuka, hawakuondoka, mpaka siku lilipoinuka. Tazama sura |