Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 40:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

32 hapo walipoingia hema ya kukutania, na hapo walipoikaribia madhabahu walinawa kama BWANA alivyomwamuru Musa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Kila walipoingia ndani ya hema au walipokaribia ile madhabahu, walinawa, kama Mose alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Kila walipoingia ndani ya hema au walipokaribia ile madhabahu, walinawa, kama Mose alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Kila walipoingia ndani ya hema au walipokaribia ile madhabahu, walinawa, kama Mose alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Wakanawa kila walipoingia katika Hema la Kukutania au walipoikaribia madhabahu, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Wakanawa kila walipoingia katika Hema la Kukutania au walipoikaribia madhabahu kama bwana alivyomwagiza Musa.

Tazama sura Nakili




Kutoka 40:32
7 Marejeleo ya Msalaba  

Namna gani wameangamizwa punde! Wakafutiliwa mbali kwa vitisho.


Kisha mlete Haruni na wanawe hata mlangoni pa hema ya kukutania, ukawaoshe kwa maji.


Akaitanda hema juu ya maskani, akakitia kifuniko cha hema juu yake; kama BWANA alivyomwamuru Musa.


Musa na Haruni, na wanawe wakanawa mikono yao na miguu yao ndani yake;


Akausimamisha ukuta wa ua kuizunguka maskani na madhabahu, akalitundika pazia la mlango wa ule ua. Basi Musa akaimaliza hiyo kazi.


Kama BWANA alivyomwagiza Musa, ndivyo alivyowahesabu huko katika jangwa la Sinai.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo