Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 40:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 Musa na Haruni, na wanawe wakanawa mikono yao na miguu yao ndani yake;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Mose, Aroni na wanawe, wote walinawa mikono na miguu yao humo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Mose, Aroni na wanawe, wote walinawa mikono na miguu yao humo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Mose, Aroni na wanawe, wote walinawa mikono na miguu yao humo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Naye Musa, Haruni na wanawe wakayatumia kwa kunawia mikono na miguu yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Naye Musa, Haruni na wanawe wakayatumia kwa kunawia mikono na miguu yao.

Tazama sura Nakili




Kutoka 40:31
8 Marejeleo ya Msalaba  

Nitanawa mikono yangu bila ya kuwa na hatia, Na kuizunguka madhabahu yako, Ee BWANA


Akaliweka birika kati ya hema ya kukutania na madhabahu, akatia maji ndani yake ya kuoshea.


hapo walipoingia hema ya kukutania, na hapo walipoikaribia madhabahu walinawa kama BWANA alivyomwamuru Musa.


Yesu akamwambia, Yeye aliyekwisha kuoga mwili hana haja ila ya kuosha miguu, maana yu safi mwili wote; nanyi mmekuwa safi, lakini si nyote.


bali tukienenda katika nuru, kama yeye alivyo katika nuru, tunashirikiana sisi kwa sisi, na damu yake Yesu, Mwana wake, yatusafisha dhambi yote.


Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kututakasa na udhalimu wote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo