Kutoka 40:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Akaliweka birika kati ya hema ya kukutania na madhabahu, akatia maji ndani yake ya kuoshea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Aliliweka birika la kutawadhia katikati ya hema la mkutano na madhabahu, na kutia maji ya kutawadha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Aliliweka birika la kutawadhia katikati ya hema la mkutano na madhabahu, na kutia maji ya kutawadha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Aliliweka birika la kutawadhia katikati ya hema la mkutano na madhabahu, na kutia maji ya kutawadha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Akaweka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, akaweka maji ndani yake kwa ajili ya kunawia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Akaweka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, akaweka maji ndani yake kwa ajili ya kunawia, Tazama sura |