Kutoka 40:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Akafukiza juu yake uvumba wa manukato kama BWANA alivyomwamuru Musa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 na kufukiza ubani wenye harufu nzuri juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 na kufukiza ubani wenye harufu nzuri juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 na kufukiza ubani wenye harufu nzuri juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 na akafukiza uvumba wenye harufu nzuri, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 na kufukiza uvumba wenye harufu nzuri, kama bwana alivyomwagiza. Tazama sura |