Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 40:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 Akaitia madhabahu ya dhahabu ndani ya hema ya kukutania mbele ya pazia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Aliiweka ile madhabahu ya dhahabu katika hema, mbele ya pazia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Aliiweka ile madhabahu ya dhahabu katika hema, mbele ya pazia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Aliiweka ile madhabahu ya dhahabu katika hema, mbele ya pazia,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Musa akaweka madhabahu ya dhahabu ndani ya Hema la Kukutania mbele ya pazia,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Musa akaweka madhabahu ya dhahabu ndani ya Hema la Kukutania mbele ya pazia

Tazama sura Nakili




Kutoka 40:26
9 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha utaisimamisha madhabahu ya dhahabu kwa kufukizia uvumba mbele ya sanduku la ushuhuda, na kulitia pazia mlangoni mwa hiyo maskani.


kisha kuhani atatia kidole chake katika hiyo damu na kuinyunyiza damu mbele ya BWANA mara saba, mbele ya pazia la mahali patakatifu.


Vipofu ninyi; maana ni ipi iliyo kubwa, ile sadaka, au ile madhabahu iitakasayo sadaka?


Nami nilijua ya kuwa wewe wanisikia sikuzote; lakini kwa ajili ya mkutano huu wanaohudhuria nilisema haya, ili wapate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma.


Basi torati, kwa kuwa ni kivuli cha mema yatakayokuwa, wala si sura yenyewe ya mambo hayo, kwa dhabihu zile zile wanazozitoa kila mwaka daima, haiwezi wakati wowote kuwakamilisha wakaribiao.


Naye, kwa sababu hii, anaweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai sikuzote ili awaombee.


Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo