Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 40:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 Kisha akaziwasha taa zake mbele za BWANA, kama BWANA alivyomwamuru Musa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Humo, mbele ya Mwenyezi-Mungu, akaziwasha taa zake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Humo, mbele ya Mwenyezi-Mungu, akaziwasha taa zake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Humo, mbele ya Mwenyezi-Mungu, akaziwasha taa zake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 na kuziweka taa mbele za Mwenyezi Mungu, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 na kuziweka taa mbele za bwana, kama bwana alivyomwagiza.

Tazama sura Nakili




Kutoka 40:25
6 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe zifanye taa zake saba; nao wataziwasha hizo taa zake, zitoe nuru mbele yake.


Kisha akakitia kinara cha taa ndani ya hema ya kukutania, kuikabili ile meza, upande wa maskani ulioelekea kusini.


Nawe utaleta meza na kuitia ndani, na kuviweka sawasawa vile vitu juu yake; kisha utakileta ndani kile kinara cha taa, na kuziwasha taa zake.


Nena na Haruni, ukamwambie, Utakapoziweka taa, hizo taa saba zitatoa nuru hapo mbele ya kinara cha taa.


Basi Haruni akafanya; akaziweka taa zake ili zitoe nuru hapo mbele ya kinara, kama BWANA alivyomwagiza Musa.


Na katika kile kiti cha enzi kunatoka umeme na sauti na ngurumo. Na taa saba za moto zikiwaka mbele ya kile kiti cha enzi, ndizo Roho saba za Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo