Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 40:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Akaipanga ile mikate juu yake mbele za BWANA; kama BWANA alivyomwamuru Musa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 na juu yake akaipanga mikate iliyotolewa kwa Mwenyezi-Mungu, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 na juu yake akaipanga mikate iliyotolewa kwa Mwenyezi-Mungu, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 na juu yake akaipanga mikate iliyotolewa kwa Mwenyezi-Mungu, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 na kupanga mikate juu yake mbele za Mwenyezi Mungu, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 na kupanga mikate juu yake mbele za bwana, kama bwana alivyomwagiza.

Tazama sura Nakili




Kutoka 40:23
8 Marejeleo ya Msalaba  

Musa na Haruni walikuwa makuhani wake, Na Samweli pia ni miongoni mwa walioliitia jina lake, Walimlilia BWANA naye akawaitikia;


Nawe utaiweka mikate ya wonyesho juu ya meza mbele yangu daima.


Kisha akakitia kinara cha taa ndani ya hema ya kukutania, kuikabili ile meza, upande wa maskani ulioelekea kusini.


Nawe utaleta meza na kuitia ndani, na kuviweka sawasawa vile vitu juu yake; kisha utakileta ndani kile kinara cha taa, na kuziwasha taa zake.


Nawe utatwaa unga mwembamba, na kuoka mikate kumi na miwili ya huo unga; sehemu za kumi mbili za efa, zitakuwa katika mkate mmoja.


Nawe iweke mistari miwili, mikate sita kwa kila mstari, juu ya hiyo meza safi, mbele za BWANA.


Jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaila mikate ile ya wonyesho, ambayo si halali kwake kuila wala kwa wale wenziwe, ila kwa makuhani peke yao?


Maana hema ilitengenezwa, ile ya kwanza, mlimokuwa na kinara cha taa, na meza, na mikate mitakatifu; ndipo palipoitwa, Patakatifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo