Kutoka 40:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Akaitia meza ndani ya hema ya kukutania, upande wa maskani ulioelekea kaskazini, nje ya pazia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Aliweka meza ndani ya hema la mkutano, upande wa kaskazini, sehemu ya nje ya pazia, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Aliweka meza ndani ya hema la mkutano, upande wa kaskazini, sehemu ya nje ya pazia, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Aliweka meza ndani ya hema la mkutano, upande wa kaskazini, sehemu ya nje ya pazia, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Musa akaweka meza ndani ya Hema la Kukutania, upande wa kaskazini mwa maskani ya Mungu nje ya pazia Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Musa akaweka meza ndani ya Hema la Kukutania, upande wa kaskazini ya Maskani ya Mungu nje ya pazia Tazama sura |