Kutoka 40:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Akaitanda hema juu ya maskani, akakitia kifuniko cha hema juu yake; kama BWANA alivyomwamuru Musa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Alitandaza pazia juu ya hema takatifu na kuweka kifuniko cha hema juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Alitandaza pazia juu ya hema takatifu na kuweka kifuniko cha hema juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Alitandaza pazia juu ya hema takatifu na kuweka kifuniko cha hema juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kisha akalitandaza hema juu ya maskani ya Mungu na kuifunika hema, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kisha akalitandaza hema juu ya Maskani ya Mungu na kuifunika hema, kama bwana alivyomwagiza. Tazama sura |