Kutoka 40:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Kisha utamvika Haruni mavazi matakatifu; nawe utamtia mafuta, na kumweka awe mtakatifu, ili apate kunitumikia katika kazi ya ukuhani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Mvike Aroni yale mavazi matakatifu; utampaka mafuta na kumweka wakfu, ili aweze kunitumikia kama kuhani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mvike Aroni yale mavazi matakatifu; utampaka mafuta na kumweka wakfu, ili aweze kunitumikia kama kuhani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mvike Aroni yale mavazi matakatifu; utampaka mafuta na kumweka wakfu, ili aweze kunitumikia kama kuhani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Kisha mvike Haruni yale mavazi matakatifu, umpake mafuta na kumweka wakfu ili apate kunitumikia kama kuhani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kisha mvike Haruni yale mavazi matakatifu, umtie mafuta na kumweka wakfu ili apate kunitumikia katikati ya ukuhani. Tazama sura |