Kutoka 40:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Kisha utamleta Haruni na wanawe hapo mlangoni pa hema ya kukutania, nawe utawaosha kwa maji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 “Utamwita Aroni na wanawe waje mlangoni mwa hema la mkutano, kisha uwatawadhe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 “Utamwita Aroni na wanawe waje mlangoni mwa hema la mkutano, kisha uwatawadhe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 “Utamwita Aroni na wanawe waje mlangoni mwa hema la mkutano, kisha uwatawadhe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 “Mlete Haruni na wanawe kwenye ingilio la Hema la Kukutania na uwaoshe kwa maji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 “Mlete Haruni na wanawe kwenye ingilio la Hema la Kukutania na uwaoshe kwa maji. Tazama sura |