Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 40:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Kisha utalitia mafuta birika na kitako chake, na kuliweka liwe takatifu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Birika la kutawadhia na tako lake pia utaliweka wakfu kwa namna hiyohiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Birika la kutawadhia na tako lake pia utaliweka wakfu kwa namna hiyohiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Birika la kutawadhia na tako lake pia utaliweka wakfu kwa namna hiyohiyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Paka sinia mafuta pamoja na kishikilio chake na uviweke wakfu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Paka sinia mafuta pamoja na kishikilio chake na uviweke wakfu.

Tazama sura Nakili




Kutoka 40:11
7 Marejeleo ya Msalaba  

Akafanya birika kumi za shaba; birika moja huingia bathi arubaini; na kila birika ilikuwa mikono minne; birika moja juu ya kitako kimoja, katika vile vitako kumi.


Fanya na birika la shaba, na kitako chake cha shaba, ili kuogea; nawe utaliweka kati ya hema ya kukutania na madhabahu, nawe utalitia maji.


na madhabahu ya kuteketezea sadaka, pamoja na vyombo vyake vyote, na birika, na kitako chake.


na madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote, na birika na kitako chake;


Kisha utaitia mafuta madhabahu ya kuteketeza sadaka, na vyombo vyake vyote; na kuiweka takatifu madhabahu; na hiyo madhabahu itakuwa takatifu sana.


Kisha utamleta Haruni na wanawe hapo mlangoni pa hema ya kukutania, nawe utawaosha kwa maji.


Ilikuwa siku hiyo Musa alipokwisha kuisimamisha maskani, na kuitia mafuta, na kuitakasa, na vyombo vyake vyote, na hiyo madhabahu na vyombo vyake vyote, na kuvitia mafuta, na kuvitakasa;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo