Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 4:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

30 Haruni akawaambia maneno yote BWANA aliyonena na Musa akazifanya zile ishara mbele ya watu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Aroni akawaambia maneno yote Mwenyezi-Mungu aliyokuwa amemwagiza Mose, na kuifanya ile miujiza mbele ya watu wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Aroni akawaambia maneno yote Mwenyezi-Mungu aliyokuwa amemwagiza Mose, na kuifanya ile miujiza mbele ya watu wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Aroni akawaambia maneno yote Mwenyezi-Mungu aliyokuwa amemwagiza Mose, na kuifanya ile miujiza mbele ya watu wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 naye Haruni akawaambia kila kitu Mwenyezi Mungu alichokuwa amemwambia Musa. Pia akafanya ishara mbele ya watu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 naye Haruni akawaambia kila kitu bwana alichokuwa amemwambia Musa. Pia akafanya ishara mbele ya watu,

Tazama sura Nakili




Kutoka 4:30
4 Marejeleo ya Msalaba  

Musa akaenda akawaita wazee wa watu, akawafunulia maneno hayo yote, BWANA aliyokuwa amemwagiza.


Musa akajibu akasema, Lakini, tazama, hawataniamini, wala hawataisikia sauti yangu; maana watasema, BWANA hakukutokea.


Nawe utasema naye, na kuyatia maneno kinywani mwake; nami nitakuwa pamoja na kinywa chako, na pamoja na kinywa chake, na kuwafundisheni mtakayofanya.


Naye atakuwa msemaji wako kwa watu, hata yeye atakuwa mfano wa kinywa kwako, nawe utakuwa mfano wa Mungu kwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo