Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 4:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

28 Musa akamwambia Haruni hayo maneno yote ya BWANA ambayo alimtuma aende nayo, na ishara hizo zote alizomwagiza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Naye Mose akamwambia Aroni maneno yote aliyoambiwa na Mwenyezi-Mungu ayaseme, na miujiza yote aliyoagizwa atende.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Naye Mose akamwambia Aroni maneno yote aliyoambiwa na Mwenyezi-Mungu ayaseme, na miujiza yote aliyoagizwa atende.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Naye Mose akamwambia Aroni maneno yote aliyoambiwa na Mwenyezi-Mungu ayaseme, na miujiza yote aliyoagizwa atende.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Kisha Musa akamwambia Haruni kila kitu Mwenyezi Mungu alichomtuma kusema, vilevile habari za ishara na maajabu alizokuwa amemwamuru kufanya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Kisha Musa akamwambia Haruni kila kitu bwana alichomtuma kusema, vilevile habari za ishara na maajabu alizokuwa amemwamuru kufanya.

Tazama sura Nakili




Kutoka 4:28
7 Marejeleo ya Msalaba  

Musa akaenda akawaita wazee wa watu, akawafunulia maneno hayo yote, BWANA aliyokuwa amemwagiza.


Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni mahali patakatifu.


Ondoka, uende Ninawi, mji ule mkubwa; ukaihubiri habari nitakayokuamuru.


Kisha Musa akanena na wale vichwa vya makabila ya wana wa Israeli, na kuwaambia, Neno hili ndilo aliloliagiza BWANA.


Naye akajibu akasema, Siendi, lakini baadaye akatubu akaenda.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo