Kutoka 4:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Basi akamwacha. Ndipo huyo mkewe akanena, U bwana arusi wa damu wewe, kwa ajili ya kutahiri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Hapo Mwenyezi-Mungu akamwacha Mose. Zipora alikuwa amesema, “Bwana harusi wa damu,” kwa sababu ya kutahiri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Hapo Mwenyezi-Mungu akamwacha Mose. Zipora alikuwa amesema, “Bwana harusi wa damu,” kwa sababu ya kutahiri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Hapo Mwenyezi-Mungu akamwacha Mose. Zipora alikuwa amesema, “Bwana harusi wa damu,” kwa sababu ya kutahiri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 (Sipora alipomwita Musa, “Bwana arusi wa damu”, alikuwa anamaanisha ile tohara.) Baada ya hayo Mwenyezi Mungu akamwacha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Sipora alipomwita Musa, “Bwana arusi wa damu,” alikuwa anamaanisha ile tohara. Baada ya hayo bwana akamwacha. Tazama sura |