Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Kutoka 4:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 BWANA akamwambia Musa huko Midiani, Haya, nenda, rudi Misri; kwa kuwa wale watu wote walioutaka uhai wako wamekwisha kufa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Mose akiwa bado nchini Midiani, Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Rudi Misri kwa sababu wale wote waliotaka kukuua wamekwisha kufa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Mose akiwa bado nchini Midiani, Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Rudi Misri kwa sababu wale wote waliotaka kukuua wamekwisha kufa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Mose akiwa bado nchini Midiani, Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Rudi Misri kwa sababu wale wote waliotaka kukuua wamekwisha kufa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Basi Mwenyezi Mungu alikuwa amemwambia Musa huko Midiani, “Rudi Misri kwa maana watu wote waliotaka kukuua wamekufa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Basi bwana alikuwa amemwambia Musa huko Midiani, “Rudi Misri kwa maana watu wote waliotaka kukuua wamekufa.”

Tazama sura Nakili

Kutoka 4:19
3 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Farao alipopata habari, akataka kumwua Musa; lakini Musa akakimbia kutoka kwa Farao, akakaa katika nchi ya Midiani; akaketi karibu na kisima.

Na kisha baada ya muda, yule mfalme wa Misri akafa; wana wa Israeli wakaugua kwa sababu ya ule utumwa, wakalia; kilio chao kikafika juu kwa Mungu kwa sababu ya ule utumwa.

akasema, Inuka, umchukue mtoto na mamaye, ushike njia kwenda nchi ya Israeli; kwa maana wamekufa walioitafuta roho ya mtoto.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo