Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 39:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

34 na kifuniko chake cha ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na kifuniko cha ngozi za pomboo, na pazia la sitara;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 kifuniko cha ngozi za kondoo dume na mbuzi kilichotiwa rangi nyekundu, pazia la mahali patakatifu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 kifuniko cha ngozi za kondoo dume na mbuzi kilichotiwa rangi nyekundu, pazia la mahali patakatifu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 kifuniko cha ngozi za kondoo dume na mbuzi kilichotiwa rangi nyekundu, pazia la mahali patakatifu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 kifuniko cha ngozi za kondoo dume kilichotiwa rangi nyekundu, na kifuniko cha ngozi za pomboo, na pazia la kufunikia;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 kifuniko cha ngozi za kondoo dume kilichotiwa rangi nyekundu, kifuniko cha ngozi za pomboo, pazia la kufunikia;

Tazama sura Nakili




Kutoka 39:34
4 Marejeleo ya Msalaba  

na ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na ngozi za pomboo, na miti ya mjohoro,


Nawe fanya kifuniko cha ile hema, cha ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo.


Nao wakamletea Musa hiyo maskani; yaani Hema, na vyombo vyake vyote, vifungo vyake, na mbao zake, na mataruma yake, na nguzo zake, na vitako yake;


na sanduku la ushuhuda, na miti yake, na kiti cha rehema;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo