Kutoka 39:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Nao wakamletea Musa hiyo maskani; yaani Hema, na vyombo vyake vyote, vifungo vyake, na mbao zake, na mataruma yake, na nguzo zake, na vitako yake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Wakamletea Mose hema takatifu pamoja na vyombo vyake vyote, vikonyo vyake, mbao zake, pau zake, nguzo zake na vikalio vyake; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Wakamletea Mose hema takatifu pamoja na vyombo vyake vyote, vikonyo vyake, mbao zake, pau zake, nguzo zake na vikalio vyake; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Wakamletea Mose hema takatifu pamoja na vyombo vyake vyote, vikonyo vyake, mbao zake, pau zake, nguzo zake na vikalio vyake; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Ndipo wakaleta maskani ya Mungu kwa Musa: hema pamoja na vifaa vyake vyote, vibanio vyake, mihimili yake, mataruma yake, nguzo na vitako vyake; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Ndipo wakaleta maskani kwa Musa: hema pamoja na vifaa vyake vyote, vibanio vyake, mihimili yake, mataruma yake, nguzo na vitako vyake; Tazama sura |