Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 39:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 njuga na komamanga, njuga na komamanga katika pindo za joho kuizunguka pande zote, ili kutumika kwa hiyo; vile vile kama BWANA alivyomwagiza Musa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Hivyo, njuga na komamanga vilifuatana kuuzunguka upindo wa joho hilo, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Hivyo, njuga na komamanga vilifuatana kuuzunguka upindo wa joho hilo, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Hivyo, njuga na komamanga vilifuatana kuuzunguka upindo wa joho hilo, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Hivyo vikengele na makomamanga vilipishana kuzunguka upindo wa joho ili livaliwe kwa kuhudumu, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Hivyo vikengele na makomamanga vilipishana kuzunguka upindo wa joho ili livaliwe kwa kuhudumu, kama bwana alivyomwagiza Musa.

Tazama sura Nakili




Kutoka 39:26
9 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe katika pindo zake utatia makomamanga ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, kuzunguka pindo zake kotekote; na njuga za dhahabu kati ya hayo makomamanga pande zote;


njuga ya dhahabu na komamanga, katika pindo za joho kuizunguka pande zote.


Nao wakafanya njuga za dhahabu safi, na kuzitia hizo njuga kati ya hayo makomamanga pande zote, kati ya hayo makomamanga;


Nao wakafanya hizo kanzu za nguo ya kitani nzuri ya kufumwa, kwa Haruni, na kwa wanawe


Machipuko yako ni bustani ya komamanga, Yenye matunda mazuri, hina na nardo,


Midomo yako ni kama uzi mwekundu, Na kinywa chako ni kizuri; Mashavu yako ni kama nusu kipande cha komamanga, Nyuma ya barakoa yako.


Mashavu yako ni kama kipande cha komamanga, Nyuma ya barakoa yako.


Na tazama, mwanamke aliyekuwa na ugonjwa wa kutoka damu muda wa miaka kumi na miwili, alikuja kwa nyuma, akaugusa upindo wa vazi lake.


Ujifanyizie vishada katika pembe nne za mavazi yako ya kujifunika.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo