Kutoka 39:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Naye akafanya hilo joho la naivera ya kazi ya kusuka, rangi ya samawati yote; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Alitengeneza kanzu ya kuvaa ndani ya kizibao ya rangi ya buluu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Alitengeneza kanzu ya kuvaa ndani ya kizibao ya rangi ya buluu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Alitengeneza kanzu ya kuvaa ndani ya kizibao ya rangi ya buluu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Akashona joho la kizibau lote kwa kitambaa cha rangi ya buluu tupu, kazi ya mfumaji, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Akashona joho la kisibau lote kwa kitambaa cha rangi ya buluu tupu, kazi ya mfumaji, Tazama sura |