Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kutoka 38:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Naye akaifanyia madhabahu wavu wa shaba, akautia chini ya ukingo kuizunguka pande zote, ukawa katikati ya hiyo madhabahu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Alitengeneza wavu wa shaba, akautia chini ya ukingo wa madhabahu hadi katikati ya madhabahu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Alitengeneza wavu wa shaba, akautia chini ya ukingo wa madhabahu hadi katikati ya madhabahu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Alitengeneza wavu wa shaba, akautia chini ya ukingo wa madhabahu hadi katikati ya madhabahu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Akatengeneza wavu wa shaba chini ya ukingo wa madhabahu ili ufikie nusu ya kimo cha madhabahu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Akatengeneza wavu wa shaba chini ya ukingo wa madhabahu ili ufikie nusu ya kimo cha madhabahu.

Tazama sura Nakili

Kutoka 38:4
4 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe uifanyie hiyo madhabahu wavu wa shaba; kisha utie pete nne za shaba katika hizo pembe nne za ule wavu.

Nawe tia huo wavu chini ya kizingo kiizungukacho madhabahu upande wa chini, ili huo wavu ufikie katikati ya hiyo madhabahu.

Kisha akafanya vyombo vyote vya madhabahu, yaani sufuria zake, na majembe yake, na mabakuli yake, na uma zake, na meko yake; vyombo vyake vyote akavifanya vya shaba.

Naye akasubu vikuku vinne kwa kutiwa katika pembe nne za huo wavu wa shaba, viwe mahali pa kutia ile miti ya kuichukulia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo