Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 38:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 na vitako vya ua kuuzunguka pande zote, na vitako vya lango la huo ua, na vigingi vyote vya maskani, na vigingi vyote vya huo ua uliozunguka pande zote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 vikalio vya ua uliolizunguka hema la mkutano na vya lango la ua, na vigingi vyote vya hema takatifu na vya ua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 vikalio vya ua uliolizunguka hema la mkutano na vya lango la ua, na vigingi vyote vya hema takatifu na vya ua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 vikalio vya ua uliolizunguka hema la mkutano na vya lango la ua, na vigingi vyote vya hema takatifu na vya ua.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 vile vitako vya ule ua uliozunguka na vile vya ingilio, na vigingi vyote vya maskani ya Mungu, pamoja na vigingi vya ule ua uliozunguka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 vile vitako vya ule ua uliozunguka na vile vya ingilio, na vigingi vyote vya Maskani pamoja na ule ua uliozunguka.

Tazama sura Nakili




Kutoka 38:31
4 Marejeleo ya Msalaba  

na nguzo zake zitakuwa nguzo ishirini, na vitako vyake ishirini, vitako vyake vitakuwa vya shaba; kulabu za zile nguzo na vitanzi vyake vitakuwa vya fedha.


Vyombo vyote vya maskani vitumiwavyo katika utumishi wake wote, na vigingi vyake vyote, na vigingi vyote vya ule ua, vitakuwa vya shaba.


Naye akafanya ya hiyo shaba vitako kwa ajili ya lango la hema ya kukutania, na hiyo madhabahu ya shaba, na ule wavu wa shaba kwa ajili yake na vyombo vyote vya hiyo madhabahu,


Na zile nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, wakafanya mavazi yaliyofumwa kwa ustadi sana kwa ajili ya kutumika katika mahali patakatifu, na kuyatengeneza hayo mavazi matakatifu ya Haruni, vile vile kama BWANA alivyomwagiza Musa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo