Kutoka 38:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Na hiyo shaba iliyoletwa ilikuwa ni talanta sabini, na shekeli elfu mbili na mia nne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Jumla ya mchango wa shaba Waisraeli waliomtolea Mwenyezi-Mungu ilikuwa na uzito wa kilo 2124. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Jumla ya mchango wa shaba Waisraeli waliomtolea Mwenyezi-Mungu ilikuwa na uzito wa kilo 2124. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Jumla ya mchango wa shaba Waisraeli waliomtolea Mwenyezi-Mungu ilikuwa na uzito wa kilo 2124. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Shaba iliyopatikana kutokana na sadaka ya kuinuliwa ilikuwa na uzito wa talanta sabini na shekeli elfu mbili mia nne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Shaba iliyopatikana kutokana na sadaka ya kuinuliwa ilikuwa na uzito wa talanta 70 na shekeli 2,400. Tazama sura |