Kutoka 38:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Na kwa hizo shekeli elfu moja na mia saba, na sabini na tano, akafanya vifungo vya hizo nguzo, na kuvifunika fedha vile vichwa vyake, na kufanya vitanzi vyake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Zile kilo 17 na gramu 75 zilizosalia, zilitumika kutengenezea kulabu za nguzo na kuvipaka vichwa vya nguzo na kuitengenezea vitanzi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Zile kilo 17 na gramu 75 zilizosalia, zilitumika kutengenezea kulabu za nguzo na kuvipaka vichwa vya nguzo na kuitengenezea vitanzi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Zile kilo 17 na gramu 75 zilizosalia, zilitumika kutengenezea kulabu za nguzo na kuvipaka vichwa vya nguzo na kuitengenezea vitanzi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Akatumia hizo shekeli elfu moja mia saba sabini na tano (1,775) kutengeneza kulabu za nguzo, kufunika ncha za nguzo, na kutengeneza vitanzi vyake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Akatumia zile shekeli hizo 1,775 kutengeneza kulabu za nguzo, kufunika ncha za nguzo na kutengeneza vitanzi vyake. Tazama sura |