Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 38:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Na Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, akafanya yote BWANA aliyomwagiza Musa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Bezaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, alifanya kila kitu ambacho Mwenyezi-Mungu alimwamuru Mose.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Bezaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, alifanya kila kitu ambacho Mwenyezi-Mungu alimwamuru Mose.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Bezaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, alifanya kila kitu ambacho Mwenyezi-Mungu alimwamuru Mose.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 (Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, alifanya kila kitu Mwenyezi Mungu alichomwamuru Musa,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 (Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, alifanya kila kitu bwana alichomwamuru Musa,

Tazama sura Nakili




Kutoka 38:22
7 Marejeleo ya Msalaba  

Naye Huri akamzaa Uri; na Uri akamzaa Besaleli.


Ndipo mimi sitaaibika, Nikiyaangalia maagizo yako yote.


Kisha Musa akawaambia wana wa Israeli, Angalieni, BWANA amemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda;


Jumla ya vile vyombo vilivyofanywa kwa ajili ya hiyo maskani, hiyo maskani ya ushuhuda ni hii, kama vilivyohesabiwa, kama maagizo ya Musa yalivyokuwa, kwa ajili ya utumishi wa Walawi kwa mkono wa Ithamari, mwana wa Haruni, kuhani.


Lakini BWANA akaniambia, Usiseme, Mimi ni mtoto; maana utakwenda kwa kila mtu nitakayekutuma kwake, nawe utasema kila neno nitakalokuamuru.


na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo