Kutoka 38:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Vyandarua vya nguo zote za ule ua vilivyouzunguka pande zote vilikuwa ni vya kitani nzuri iliyosokotwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Vyandarua vyote kuuzunguka ua vilikuwa vya kitani safi iliyosokotwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Vyandarua vyote kuuzunguka ua vilikuwa vya kitani safi iliyosokotwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Vyandarua vyote kuuzunguka ua vilikuwa vya kitani safi iliyosokotwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Mapazia yote yaliyozunguka ua yalikuwa ya kitani iliyosokotwa vizuri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Mapazia yote yaliyozunguka ua yalikuwa ya kitani iliyosokotwa vizuri. Tazama sura |