Kutoka 38:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 ni vivyo hivyo upande wa pili; upande huu na huu langoni mwa ua mlikuwa na chandarua ya dhiraa kumi na tano urefu wake; nguzo zake zilikuwa ni tatu, na vitako vyake vitatu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Upande mwingine kadhalika ulikuwa na chandarua chenye upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Upande mwingine kadhalika ulikuwa na chandarua chenye upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Upande mwingine kadhalika ulikuwa na chandarua chenye upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yalikuwa upande mwingine wa ingilio la ua, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yalikuwa upande mwingine wa ingilio la ua, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu. Tazama sura |