Kutoka 38:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Chandarua ya upande mmoja wa lango ilikuwa dhiraa kumi na tano urefu wake; na nguzo zake tatu, na vitako vyake vitatu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Chandarua cha kila upande wa mlango kilikuwa na upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Chandarua cha kila upande wa mlango kilikuwa na upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Chandarua cha kila upande wa mlango kilikuwa na upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yalikuwa upande mmoja wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yalikuwa upande mmoja wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu. Tazama sura |