Kutoka 38:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Upande wa magharibi mlikuwa na chandarua ya dhiraa hamsini, nguzo zake zilikuwa ni kumi, na vitako vyake kumi; kulabu za hizo nguzo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Upande wa magharibi ulikuwa na chandarua chenye urefu wa mita 22, nguzo zake 10 na vikalio vyake 10. Kulabu za nguzo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Upande wa magharibi ulikuwa na chandarua chenye urefu wa mita 22, nguzo zake 10 na vikalio vyake 10. Kulabu za nguzo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Upande wa magharibi ulikuwa na chandarua chenye urefu wa mita 22, nguzo zake 10 na vikalio vyake 10. Kulabu za nguzo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Upande wa mwisho wa magharibi ulikuwa na upana wa dhiraa hamsini, na ulikuwa na mapazia, na nguzo kumi na vitako vyake kumi, pamoja na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Upande wa mwisho wa magharibi ulikuwa na upana wa dhiraa hamsini na ulikuwa na mapazia, na nguzo kumi na vitako vyake kumi, pamoja na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo. Tazama sura |