Kutoka 37:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Kisha akafanya kiti cha rehema cha dhahabu safi; urefu wake ulikuwa dhiraa mbili na nusu na upana wake ulikuwa dhiraa moja na nusu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Alitengeneza kiti cha rehema cha dhahabu safi; urefu wake sentimita 110, na upana wake sentimita 66. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Alitengeneza kiti cha rehema cha dhahabu safi; urefu wake sentimita 110, na upana wake sentimita 66. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Alitengeneza kiti cha rehema cha dhahabu safi; urefu wake sentimita 110, na upana wake sentimita 66. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Akatengeneza kifuniko cha upatanisho kwa dhahabu safi: urefu wake ulikuwa dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Akatengeneza kifuniko cha upatanisho kwa dhahabu safi: urefu wake ulikuwa dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu. Tazama sura |