Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Kutoka 37:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Naye akatengeneza pete nne za dhahabu kwa ajili yake, katika miguu yake minne; pete mbili upande wake mmoja na pete mbili upande wake wa pili.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Kisha alitengeneza pete nne za dhahabu za kulibebea, akazitia kwenye pembe zake, kila pembe pete moja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Kisha alitengeneza pete nne za dhahabu za kulibebea, akazitia kwenye pembe zake, kila pembe pete moja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Kisha alitengeneza pete nne za dhahabu za kulibebea, akazitia kwenye pembe zake, kila pembe pete moja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Akasubu pete nne za dhahabu na kuzifungia kwenye miguu yake minne, pete mbili kwa upande mmoja na pete mbili kwa upande mwingine.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Akasubu pete nne za dhahabu na kuzifungia kwenye miguu yake minne, pete mbili kwa upande mmoja na pete mbili kwa upande mwingine.

Tazama sura Nakili

Kutoka 37:3
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa Walawi wakalichukua sanduku la Mungu mabegani mwao kwa miti yake, kama vile Musa alivyoamuru, kulingana na neno la BWANA.

Kwa maana makerubi yalinyosha mabawa yao juu ya mahali pa sanduku, makerubi yakalifunika lile sanduku na miti yake kwa juu.

akalifunika dhahabu safi, ndani na nje, akafanya na ukingo wa dhahabu kulizunguka pande zote.

Akafanya na miti ya kulichukulia, ya mti wa mshita akaifunika dhahabu.

Nikamwambia, Bwana wangu, wajua wewe. Akaniambia, Hao ndio wanatoka katika dhiki ile iliyo kuu, nao wamefua mavazi yao, na kuyafanya meupe katika damu ya Mwana-kondoo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo