Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kutoka 37:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

27 Naye akaifanyia vikuku viwili vya dhahabu na kuvitia chini ya ukingo wake, katika mbavu zake mbili, katika pande zake mbili, viwe ni mahali pa hiyo miti ya kuichukulia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Alitengeneza pete mbili za dhahabu chini ya ukingo kwenye pande mbili zinazokabiliana. Pete hizo zilitumika kushikilia mipiko ya kuibebea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Alitengeneza pete mbili za dhahabu chini ya ukingo kwenye pande mbili zinazokabiliana. Pete hizo zilitumika kushikilia mipiko ya kuibebea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Alitengeneza pete mbili za dhahabu chini ya ukingo kwenye pande mbili zinazokabiliana. Pete hizo zilitumika kushikilia mipiko ya kuibebea.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Akatengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili ya madhabahu chini ya huo ukingo, zikiwa mbili kila upande, za kushikilia mipiko iliyotumika kubebea madhabahu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Akatengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili ya madhabahu chini ya huo ukingo, zikiwa mbili kila upande, za kushikilia hiyo mipiko iliyotumika kuyabebea madhabahu.

Tazama sura Nakili

Kutoka 37:27
3 Marejeleo ya Msalaba  

Vile vikuku na viwe karibu na ule upapi, ili viwe mahali pa kutilia ile miti, ya kuichukulia meza.

Naye akaifunika dhahabu safi, upande wa juu, na mbavu zake pande zote, na hizo pembe zake; akaifanyia na ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote.

Kisha akafanya hiyo miti kwa mti wa mshita, na kuifunika dhahabu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo