Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 37:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 Naye akaifunika dhahabu safi, upande wa juu, na mbavu zake pande zote, na hizo pembe zake; akaifanyia na ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Yote aliipaka dhahabu safi: Upande wake wa juu, pande zake za ubavuni na pembe zake; pia aliitengenezea ukingo wa dhahabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Yote aliipaka dhahabu safi: Upande wake wa juu, pande zake za ubavuni na pembe zake; pia aliitengenezea ukingo wa dhahabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Yote aliipaka dhahabu safi: upande wake wa juu, pande zake za ubavuni na pembe zake; pia aliitengenezea ukingo wa dhahabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Akafunika hayo madhabahu juu na pande zote na pia zile pembe zake kwa dhahabu safi, na akayafanyizia ukingo wa dhahabu kuizunguka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Akafunika hayo madhabahu juu na pande zote na pia zile pembe zake kwa dhahabu safi, na akayafanyizia ukingo wa dhahabu kuizunguka.

Tazama sura Nakili




Kutoka 37:26
3 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe ulifunike kwa dhahabu safi, ulifunike ndani na nje, nawe tia na ukingo wa dhahabu kulizunguka pande zote.


Kisha akafanya hiyo madhabahu ya kufukizia uvumba ya mti wa mshita; urefu wake ulikuwa ni dhiraa moja, na upana wake ulikuwa ni dhiraa moja, ilikuwa mraba; na kwenda juu kwake kulikuwa ni dhiraa mbili; na pembe zake zilikuwa za kitu kimoja nayo.


Naye akaifanyia vikuku viwili vya dhahabu na kuvitia chini ya ukingo wake, katika mbavu zake mbili, katika pande zake mbili, viwe ni mahali pa hiyo miti ya kuichukulia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo