Kutoka 37:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Akakifanya cha talanta moja ya dhahabu safi, pamoja na vyombo vyake vyote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Alikitengeneza kinara hicho na vifaa vyake kwa kilo thelathini na tano za dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Alikitengeneza kinara hicho na vifaa vyake kwa kilo thelathini na tano za dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Alikitengeneza kinara hicho na vifaa vyake kwa kilo thelathini na tano za dhahabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Akatengeneza kinara hicho cha taa pamoja na vifaa vyake vyote kutumia talanta moja ya dhahabu safi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Akatengeneza kinara hicho cha taa pamoja na vifaa vyake vyote kutumia talanta moja ya dhahabu safi. Tazama sura |