Kutoka 37:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 kisha chini ya matawi mawili mlikuwa na tovu iliyokuwa ya kitu kimoja nacho, na chini ya matawi mawili mengine mlikuwa na tovu ya kitu kimoja nacho, tena chini ya matawi mawili hayo mengine mlikuwa na tovu ya kitu kimoja nacho; kwa ajili ya hayo matawi sita, yaliyotokana nacho. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Mahali pale palipotokezea jozi tatu za matawi chini ya kila jozi kulikuwa na tumba moja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Mahali pale palipotokezea jozi tatu za matawi chini ya kila jozi kulikuwa na tumba moja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Mahali pale palipotokezea jozi tatu za matawi chini ya kila jozi kulikuwa na tumba moja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Tovu moja lilikuwa chini ya jozi ya kwanza ya matawi yaliyotokeza kwenye kinara cha taa, tovu la pili chini ya jozi ya pili, nalo tovu la tatu chini ya jozi ya tatu, yaani matawi sita kwa jumla. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Tovu moja lilikuwa chini ya jozi ya kwanza ya matawi yaliyotokeza kwenye kinara cha taa, tovu la pili chini ya jozi ya pili, nalo tovu la tatu chini ya jozi ya tatu, yaani, matawi sita kwa jumla. Tazama sura |