Kutoka 37:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 akalifunika dhahabu safi, ndani na nje, akafanya na ukingo wa dhahabu kulizunguka pande zote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Alilipaka dhahabu safi ndani na nje, na kulifanyia ukingo wa dhahabu pande zote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Alilipaka dhahabu safi ndani na nje, na kulifanyia ukingo wa dhahabu pande zote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Alilipaka dhahabu safi ndani na nje, na kulifanyia ukingo wa dhahabu pande zote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Akalifunika kwa dhahabu safi ndani na nje, na kulizungushia ukingo wa dhahabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Akalifunika kwa dhahabu safi ndani na nje, na kulizungushia ukingo wa dhahabu. Tazama sura |